Monday, September 28, 2009

Askari Wakisoma Gazeti la Kiongozi 1916

Kumbe gazeti la 'Kiongozi' ilikuwepo tangu enzi za Mjerumani! Hao askari wa enzi za Mjerumani wanaburudika kwa kusoma gazeti la Kiongozi iliyoandikwa kwa lugha ya Kiswahili. Hii Picha ilipigwa wakati wa Vita Kuu ya Dunia ya Kwanza (World War I) na Walther Dobbertin.


Askari eh, Vitani eeh Mamaaa!

1 comment:

Anonymous said...

Duh! Gazeti la Kiongozi ilikuwepo enzi hizo!