Friday, June 19, 2009

Dodoma Tanzania Blog

Habari za kazi:

Naomba utusaidie kuitangaza blog yetu ya http://www.dodoma-tanzania.ning.com/ katika blog yako.

Tunakutakia kazi njema

3 comments:

Anonymous said...

nimeipenda sana ramani ya nchi yetu lakini huo mpaka ktk ziwa nyasa ulivyowekwa umenichefua,wadau mnasemaje?

Simon Kitururu said...

Anony una bomba la jicho!Sikustukia mpaka

Anonymous said...

e bwana hilo sio ziwa nyasa tena, linaitwa ziwa malawi tangu siku nyingi, tulishanyang'anywa...hivi kumbe hamjui...wewe ingiza kwenye google lake nyasa uone, utakuta linaitwa lake malawi....hii vita alianzisha Banda, lakini naona hatimaye wamelichukua....