Thursday, June 25, 2009

Ushauri - Muziki wa Michael Jackson

Nendeni dukani na ITunes nk. mkanunue CD's za Michael Jackson kabla hawajapandisha bei. Sijui kwa nini hapa Marekani msanii akifa ndo muziki, michoro, nk. ina kuwa mali kweli.

Halafu, kwenye FOX News niliona video iliyopigwa hivi karibuni. Kwa kweli MJ alikuwa amekondeana kama 'scarecrow'. Alikuwa amebakia mifupa na ngozi tu! Wanaongelea jinsi alivyokosa imani na watu tangu ile kesi ya yule kijana wa kizungu adai eti MJ alimbaka.

REST IN PEACE MICHAEL JACKSON

1 comment:

santino said...

it cms u hated michael jackson,issue ya jackson ku bleach his skin is still controversial,ni vema ukatoa reference ni wapi alitamka maneno kuwa anataka kujitengeneza jinsi Mungu alivyotaka awe,blog yako inaangaliwa na watu mbalimbali wenye uelewa tofauti,it's better ukaweka pembeni your emotions unapotoa taarifa