Monday, June 01, 2009

Zilipendwa - S.O.S na ABBA

Haya wadau, nimewasikia. ABBA nao hao hapa.

3 comments:

Shimba ya buhongo said...

Akhsante sana Chemi. Hiki ndicho ninachoipendea 'Swahili time blog.' To be precise nimeifanya kuwa homepage ya computer yangu. Mbali ya kuwa business hawa watu walikuwa wakifanya vitu vya kuburudisha na kuliwaza.
Ninakaombi kamoja najua katakuwa kagumu lakini kwa sababu wewe ni kijana wa zamani mwenzetu pengine unaweza kufanikiwa. Kuna love songs fulani za miaka ya 47 zilikuwa mkwenye kaseti ukiwemo "from a distance" bahati mbaya kwangu hata jina siukumbuki na pia mwimbaji au (kundi0 lakini ala zake zilivyopigwa huwa naziota kila usiku. Kama unaweza kupata mkusanyiko wake waweza kuziweka hapa.
Natanguliza shukrani zangi za dhati. Nasikia huko uliko huwa wansema "go girl" lakini mimi nasema "go mama"

Chemi Che-Mponda said...

Asante Simba ya buhongo. Sijui kama una maanisha ule wimbo wa Bette Midler, 'From a Distance'?

Ben said...

Chema !
I just thought it's cute and resembles what you do for others!!
why? because it makes other people feel good and that's why we keep coming back for more of that ;)
Anyhow..., I just wanted to say thanks for what you do posting such cool and ole good music like ABBA, it takes me to good old days in Dar in the 70s and 80s when my Mom was alive (She passed on March 2007) and used to take us somewhere nice on weekends, whether it was Palm beach Hotel for Fanta or Coca Cola or to Kilimanjaro Hotel when it was It!
Just Wonderful memories,...tear, tear! Will always cherish all that Great times!