Thursday, June 04, 2009

Kifo cha David Carradine

David Carradine
Wadau mliowahi kuona sinema za Kill Bill na ile series Kung Fu, nina habari za kusikitisha. Mcheza sinema David Carradine amefariki leo huko Bangkok, Thailand. Alikuwa ana miaka 72. Mara baada ya kifo chake leo watu walikuwa wanasema alikufa akiwa kwenye tendo la ngono. Mara wakataa hizo habri za ajabu, lakini inaelekea ni kweli.

Maiti yake ilikutwa ikiing'inigia kwenye closet ya chumba na hoteli aliofikia. Maiti ilikuwa na kamba kwenye shingo, na kwenye ume (mboo) wake. Wazungu wana mchezo wa ngono wa kupenda kujinyima hewa wakati wa ngono, eti inawafanya wasikie raha zaidi wakifika kilele cha tendo. Loh, maskini Mzee David alifia hapo hapo. Lakini jamani, umri huo bado tu alikuwa anataka kufanya matendo ya ajabu. Duh!

Alikuwa huko Bangkok anaigiza katika sinema fulani inaitwa Stretch. Wazungu wengi wanasafiri kutoka Marekani na nchi za Ulaya kwenda kufanya matendo ya ajabu ya ngono na malaya wa Thailand. Wengine wanaenda kususdi wafanye ngono na watoto wadogo kabisa wa kike na wa kiume na hata wanyama!

*******************************************************************************

Carradine Death Was Accidental
4 June 2009 3:05 PM, PDT


David Carradine died during a sex game that went wrong, according to sources in Bangkok, Thailand, where he was found dead on Thursday.

Carradine's body was discovered in a hotel suite and local reports suggested he committed suicide.

He was discovered by a maid, naked and hanged, but the suggestions his death had a sexual twist were strongly disputed by the star's close friend, attorney Vicki Roberts, and his manager Chuck Binder, who insisted he died of natural causes.

But a statement from Carradine's representative now indicates the actor died during a sex act.

The spokesperson tells TMZ.com, "We can confirm 100 per cent that he never would have committed suicide. It was an accidental death. Everybody is in shock."

Rumours Carradine died attempting auto-erotic asphyxiation - where victims achieve heightened sexual pleasure by restricting their air supply - are backed up by a quote a Bangkok police officer gave to British newspaper The Sun.

The cop tells reporters, "A rope was attached to his neck and also to his penis".

Rocker Michael Hutchence was rumoured to have died attempting the same sex act in a Sydney, Australia hotel room back in 1997 - although his death was officially declared a suicide.

Carradine was in Thailand to shoot new movie Stretch. He was 72.
Kwa habari zaidi someni:

5 comments:

Anonymous said...

Inaitwa sex tourism. Hata Tanzania wanaendaga. Kuna mzungu alikuwa analipa machangudoos kufanya vitu vya ajabu. Alikuwa anakunya kwenye midomo yao!

Anonymous said...

Kwani wewe umejuaje kua wazungu wanamchezo wa kubana pumzi tendoni?

Anonymous said...

Mungu nisamehe. Nimecheka kweli kweli. Sasa hiyo kamba kwenye nyeti ina kazi gani. UWIIIIIIIII!

RIP

Anonymous said...

Bangkok police said Carradine was found hanging by a nylon rope in a Bangkok hotel room closet Thursday morning.

A member of the emergency crew who was called to the hotel after a maid found Carradine told CNN that a yellow nylon rope was tied around the actor's neck and a black rope was around his genitals. Police later confirmed that information.

Anonymous said...

He was a kinky old man.