Wednesday, June 10, 2009

Shikamoo!

Watu wanasema kuwa huyo mtoto alitaka kushika nywele za rais kuona kama ni sawa na zaka. Mimi nadhani uAfrika aliyozaliwa nayo huyo mtoto ulimtoka na akawa anamwamkia Shikamoo!

1 comment:

Anonymous said...

Da Chemi hebu waelimishe huko kuhsu heshima tunaotuzwa na watoto.