Monday, June 29, 2009

Michael Jackson Angelikuwa Bila MaSurgery

Wadau, marehemu Michael Jackson, hakupenda weusi wake. Alitaniwa sana na ndugu zake kwa vile alikuwa na pua kubwa. Baba yake alikuwa anamwita, "Big Nose" (pua kubwa). Matokeo yake alijigeuza mzungu na kachonga pua yake.

Kuna Forensic Scientist ambaye amachora picha ya jinsi Michael angelikuwa kama asingejiharibu kwa maplastic surgery.

*************************************************************************
Michael mwaka juzi

Alivyokuwa na miaka 13 na pua ya kawaida ya kiafrika
Akiwa late 30's bila masurgery


Mzee Michael Jackson bila masurgery

9 comments:

Anonymous said...

TOA NA YAKO BASI.
UNAMCHIMBA MTOTO WA WATU TU WEWE MWENYEWE KWANI HATUJUI UNATUMIA MKOROGO NDO RANGI ULOKUWA NAYO BONGO HIYO PALE DAILY NEWS?
hebu mwache apumzike mwana wa mwenzio loooh, yasini!

Anonymous said...

Maskini Michael wa watu. Kumbe ndio maana alikuwa hajipendi. Baba yake mzazi alimwaharibu tangu mdogo! Sijui Mzee Jackson anajisikiaje!

Anonymous said...

This is the result of an ignorant Dad. The big nose runs in the Jackson genes. One or more of his ancestors had the exact same nose that Michael inherited. The boy was tormented. No wonder he ended up cutting off his own nose!

Anonymous said...

Anony was 2:54 mbon Da Chemi alikuwa mweupe alivyokuwa Daily News.

Anonymous said...

Kweli alikuwa na pua kubwa lakini watu wengi wana pua kubwa au ndefu. Baba yake alivyomwambia yalim-mwaffect. Uongo mbaya. Na pia kuna madai kuwa baba yake alikuwa anampiga na kumfanyia mabaya zaidi. Rest in Peace MJ!

Anonymous said...

Pua yake ilikuwa kubwa lakini sio kama walionyesha kwenye hizo ...that is plainly exageration. Why are westerners so obssessed with celebrities lives ? I am sick and tired of twenty four hours news cycle! I would love to go to a place where I wouldn't have access to internet or Television.

Anonymous said...

Nikitazama kaka zake, naona mchoraji kampatia sawa sawa. Watu wanapenda sauti, hawajali pua kubwa. Hebu ona SEAL alivyo mbaya lakini mziki wake unapendwa.

Anonymous said...

Huyo mchoraji kachemsha hamna hata picha mmoja, aliyobuni na kuanza kusema bila sugery angekua hivi, walaaa!!!! hata asingekua hivyo

Anonymous said...

Michael Jackson alikuwa na ugonjwa unaoitwa "vitiligo" according to dermatologists. ni ugonjwa unaobadilisha ngozi na kuwa nyeupe kabisa. Tumeshawaona watu wengi sana wakiwa na ugonjwa kama huo. unaanza kwa kubadilisha ngozi kidogo kidogo na kumfanya mtu aonekana ana madoa madoa. Ukiangalia baadhi ya picha za michael za zamani (hasa ile yenye afro kubwa kuliko zote)kwa makini utaona midomo yake na ngozi yake imebabuka hasa shingoni na ndio sababu ya yeye kuamua kuwa mweupe kabisa maana hata hivyo angekuja kuwa mweupe tu ingawa ingechukua miaka na hiyo ingemlazimu kufanya maonyesho yake wakati kidole chake kimoja cheupe kingine cheusi. shavu moja lina madoa madoa lingine jeusi. sasa basi tuache kumsimanga mwanamuziki wa watu maana hata sisi tunajua kwamba kama tungekuwa na hilo tatizo na tuna hela lazima tungejibadilisha.