Monday, June 15, 2009

Kapanga Podcast


Wada hebu cheki Podcast za MBongo, Peter Mwagula Kayele Kapanga !

Kazi nzuri Kaka Peter!

5 comments:

Anonymous said...

Thank you Dada Chemi for posting this podcast it is an eye opener please give us more details of this interesting person

Anonymous said...

Kajitahidi! Safi sana!

Anonymous said...

You are in a America ignorant, what kind of info do you want from Da Chemi to give it you about Mr Peter Kapanga, just go to his podcast to find out how interesting this person is.

Anonymous said...

Peter yuko wapi? nilisoma naye shaaban robert enzi zile alikuwa na pushback sasa hivi ana upara kweli siku hazi gandi

Anonymous said...

Wewe mjuvi usifikiri kila mtu anayeangalia blog ya Da chemi anabeba box Marekani wala kuandika kiingereza haimaanishi kuwa yuko Marekani wewe sasa ndio ignorant mkubwa!