Monday, June 08, 2009

Waziri Mkuu wa Gabon asema Rais Bongo Amefariki

Hatimaye, Waziri Mkuu wa Gabon, Jean Eyeghe Ndong, amethibitisha habari kuwa Rais wa nchi hiyo, Al Haji Omar Bongo Ondimba, amefariki dunia huko Hispania kutokana na ugonjwa wa moyo (heart attack).

Maol ailaze roho yake mahala pema peponi. Amin.

Kwa habari zaidi someni:

http://www.cnn.com/2009/WORLD/africa/06/08/bongo.gabon/index.html

http://www.kansascity.com/451/story/1239937.html

2 comments:

Anonymous said...

maskini michael jackson!, ni mwana wa familia hii!

Anonymous said...

Mdudu ulimaliza mke wake na sasa yeye. Nawapa pole wanagaboni.

Mola walaze mahala pema peponi. Amin. Jamani tunahitaji dawa ya mdudu! Utatumaliza.