Wednesday, June 10, 2009

Mwisraeli Atupa Godoro Enye Dola Milioni Moja Ndani!


Mama fulani huko Tel Aviv, Israel aliamua kumnunulia mama yake mzazi godoro jipya maana aliyokuwa analalia ilikuwa imechakaa. Tatizo hakumwambia mama yake mpango wake. Kumbe ndani ya ile godoro iliyochakaa, mama yake alikuwa anaweka akiba yake....zilifikia dola milioni moja! Watu wengine hawaamini benki na wanaficha hela katika magodoro. Marekani wanaita 'mattress money'.

Basi, habari zinasema kuwa binti alipogundua habari ya godoro kuwa na pesa aliteremka chini na kukuta imeshachukuliwa na watu wanaozoa takataka. Wamesaka dampu zote za Tel Aviv, lakini hiyo godoro haionekani.

Mimi navyoona hao waliokuwa wanazoa takataka wamechukua hizo pesa, au hata mpita njia kachukua. Au huenda mtu mwingine aliyekuwa anakitaji godoro kaichukua.

Nawapa mama na binti yake pole.

*******************************************************************************

Israeli woman mistakenly junks $1 million mattress
JERUSALEM – An Israeli woman mistakenly threw out a mattress she said had almost $1 million inside, setting off a frantic search through tons of garbage at a number of landfill sites on Wednesday.

The woman told The Associated Press that she bought her elderly mother a new mattress as a surprise present on Monday — and threw out the old one.

The next day, she said, she remembered that she had hidden her life savings inside the old mattress. "I woke up in the morning screaming, when it hit me what happened," said the Tel Aviv woman, who asked not to be identified.

She went to look for the mattress, but it had already been hauled away by garbage collectors, she said. Searches at three different landfill sites turned up nothing.

She said the money was in U.S. dollars and Israeli shekels. She refused to say how she acquired such a large sum. "It was all my money in the world," she said. There was no way to verify her claims, and she refused to disclose key details.

Israeli police spokesman Micky Rosenfeld said he was not familiar with the case and no report had been filed.

The Israeli daily Yediot Ahronot published a picture of the woman searching through garbage at a dump in southern Israel. The picture shows the woman, dressed in a white top and black pants with her back to the camera, picking through a huge pile of trash that fills the frame about 10 feet in all directions.

Yitzhak Borba, the dump manager, told Army Radio that his staff was helping the woman, saying she appeared "totally desperate." He said the mattress was hard to find among the 2,500 tons of garbage that arrives at the site every day.

He said the increased security at the site to keep would-be treasure hunters away.

The woman said the money had been stashed in a mattress because she had had "traumatic experiences with banks" in the past. She would not elaborate.
Kwa habari zaidi someni:

7 comments:

Anonymous said...

Natafuta tiketi kwenda Tel Aviv. Hizo $1M cash nyingi!

Faustine said...

Binti alidhani anamsaidia mama yake kumbe ndio anamtia umaskini.

Anonymous said...

na kwa hizi ATM za bongo ambazo spana mkononi kila siku zinaharibika ni vyema hata huku tuwe tunaweka fedha katika magodoro. ni njia rahisi na ya uhakika zaidi.

Anonymous said...

Wish I could find that mattress!

Anonymous said...

madam ni muisrael wala simuonei huruma! wakafie mbalii! mungu anachukua anarudisha kwa waliowanyonya kimtindo!

Anonymous said...

Huyo mama ataongea na binti yake tena kweli! Makubwa!

mumyhery said...

jamani nimeona imeonyeshwa kwe tv japan takataka zinavyo pekuliwa na macrane!!! zipatikane wapi?