Saturday, June 27, 2009

Uchumi Wetu Blog

Mambo vipi Da' Chemi,

Pokea salamu zangu.

Ningependa kukupongeza kwa kazi yako nzuri na ya heshima unayofanya katika mtandao wako wa SWAHILITIME. Inatuhamasisha na kutupa michapo katika maswala tofauti hasa mambo ya ughaibuni.

Inspired by your blog and many other bloggers I have taken it up the challenge and created a blog modelled around it for making important Business and Economic News and Info about Tanzania.

Kindly spread the word for people to visit the blog and receive the latest business and economic news/info on TANZANIA.


BLOG: ECONOMY TICKER
URL: http://www.economyticker.blogspot.com

Natanguliza shukrani zangu.

Pamoja,
ECONOMY TICKER

Barua pepe: uchumiwetu@gmail.com

No comments: