Monday, June 22, 2009

Habari zaidi za Marehemu Maggie Kigoni

Asante Mdau FM kwa maelezo.

Magdalena "Maggie" Kigoni alizaliwa Mwanza March 27 1980, Tanzania. Marehemu baba yake ni Mnyamwezi toka Tabora na mama yake ni Msambaa toka Lushoto Tanga. Maggie alikuja Marekani na wazazi wake akiwa na miaka miwili. Alikulia Jamaica Plain, Massachusetts. Alisoma primary katika shule ya Louis Agassiz na middle school Mary E Curley. Alihitimu high school katika shule ya John D O'Bryant School of Math and Science mwaka 1988. In short ni Mtanzania.

1 comment:

Anonymous said...

Poleni sana wafiwa. Ndg mwandishi naona kama umekosea vile aidha mwaka wa kuzaliwa au mwaka laiomaliza hai skuli manake inaonekana kama vile alimaliza high skuli akiwa na umri wa miaka 8