Monday, June 08, 2009

Rais wa Gabon Omar Bongo kafa au?


Rais Bongo na mke wake First lady Edith

Serikali ya Gabon inasema kuwa Rais wao, Al Haji Omar Bongo Ondimba, hajafa. Lakini huko Hispania alipokuwa anatibiwa ugonjwa wa Saratani (kansa) wanasema kuwa kafa. Haya tutaendelea kusikiliza imekuaje.

Mke wake, Edith Lucie Ondimba, alifariki mwezi wa tatu mwaka huu baada ya kuugua kwa muda mrefu. Alikuwa na miaka 45. Edith alikuwa anatibiwa Morocco na hawakutangza chanzo cha kifo chake. Edith alikuwa binti wa rais wa Jamhuri ya Congo, Denis Sassou Nguesso.
Mnaweza kusoma habari zaidi hapa:

2 comments:

Anonymous said...

Dah! Mwanamke mrefu!

REST IN PEACE.

Anonymous said...

Ukimwi huo wanazuga