Tuesday, June 02, 2009

Umbea - Jennifer Hudson ana Mimba!

Pichani Jennifer Hudson na David Otunga

Habari zinasema kuwa mwimbaji na mcheza sinema, Jennifer Hudson ana mimba ya miezi saba. Niliona picha kwenye TV leo na kweli alikua na 'mtumbo' hasa. Nampongeza yeye na mchumba wake, David Otunga. Lazima Jennifer atakuwa na furaha. Kwa sasa wameficha kwa umati kama ni mtoto wa kike au wa kiume.

Mtakumbuka mwaka jana, shemeji yake Jennifer aliwaua, mama yake mzazi, kaka yake na mpwa wake.

Kwa habari zaidi someni:


1 comment:

Anonymous said...

Zaeni matunda mema. Mmmh ndo matokeo ya ule uchungu wa kufiwa.