Tuesday, June 09, 2009

Shindano kwa Kaka Michuzi


Wadau, kuna shindano ya kutunga caption ya hii picha kwa Kaka Michuzi!

Mbavu sina! Sasa huyo simba anashangaa au?

6 comments:

Anonymous said...

Mtume! Mzungu kapona kweli?

Anonymous said...

UWIIIII! Nakufa kwa vicheko!

Anonymous said...

anamngoja avae nguo kwanza kisha amnyake kwa nyuma

Anonymous said...

Sasa huyo simba anasubiri zungu amalize kunya nini?

Anonymous said...

PHOTO SHOP 100%

chib said...

Hii nimeidaka, ha ha ha