Monday, June 01, 2009

Ndege ya Air France imeanguka!

Kuna habari kuwa ndege ya AIR FRANCE imeanguka katika bahari ya Atlantiki kati ya Brazil na bara ya Afrika Magharibi!

Someni habari zaidi hapa: http://news.yahoo.com/s/ap/brazil_plane

Huenda ndege kama tau nne zitaanguka. Ndo kawaida, ikianguka moja lazima zianguke kama tatu nne katika siku za karibu.

Nawombea uzima na usalama wanaosafiri kwa ndege katika kipindi hiki. Amen.

2 comments:

krs said...

Na wewe umekuwa shehe yahaya siku hizi!!!!!yani unaongea kwa kijiamini kabisa.. eti ndege zaidi kuanguka.Tafazali badilisha hayo maneno yako yanatisha kwa wasafiri.

Anonymous said...

kwakweli hata mimi sijapenda kabisa eti huenda ndege kama tatu au nne zikaanguka hivi karibuni. kwani wewe umekuwa Mungu kujua yajayo. Halafu kwanini usiseme naombe Mungu NDEGE ZISIANGUKE, huwa wanasema unaposema au kuwaza kitu basi unakiumba. Mungu tusaidie ndege zisianguke tena. Amina