Thursday, February 21, 2008

Machifu Wetu walivyonyongwa!

Wangoni Chiefs
Walivyonyongwa!
Hii picha ya machifu wetu kunyongwa iko kwenye maktaba ya Northwestern University hapa Marekani! Mjerumani alikuwa MSHENZI!

5 comments:

Anonymous said...

Kabila la Wangoni waanza kuwalalamikia wajerumani Kidunia kama wafanyavyo wayahudi eti?

Chemi Che-Mponda said...

Anonymous wa 9:14am, bado sijasikia kitu kama hicho. Reparations kwa wangongi. Lakini ni kweli tuna haki ya kudai malipo kwa mateso ya mabibi na mababu zetu. Hao wayahudi wanalipwa na bado wanaendelea kulipwa na siyo hela ndogo!

Anonymous said...

Chemi my dear..kudai reparations? nani ataidai hiyo reparations? assume tupewe na wajerumani..unaamini kwamba itamfikia Mngoni? Kabla mafisadi hawajaitafuna?

Mi nadhani tuhangaike na hawa mafisadi wetu humu humu. Tukisharekebisha nyumba yetu, then we can turn to outsiders. But for now, the greatest enemy of Africa is Africans.

Chemi Che-Mponda said...

Kwa kweli kama reparations zitaingia ningependekeza ziende kwa kujenga shule, hospitali na infrastrusture ya kwetu Kusini. Siyo kupewa individuals. Kwanza tumechanganya sana na makabila mengine.
Huko Tanzania makabila yamechanganya mno! Kuna makabila zaidi ya mia mbili na miji ni melting pot hivyo tunakuwa waTanzania na si kabila fulani tu.

Anonymous said...

Hi dada Chemi, kweli hiyo reparation ni vyema ingedaiwa, km ushafika Songea ndo utajua how far behind we are, Tanzania nadhani ukitoa DSM kaskazini ndo inathaminika zaidi, kuna mbuga inaitwa selous inavivutio vingi sana iko songea ni mbuga kubwa sana lkn haitangazwi km zinavyotangazwa mbuga nyingine za kaskazini, kuna madini mengi tuu lkn none of our leader is concerned, sipendi kuigawa nchi hii kwa jinsi hiyo lkn ukweli unaonekana, hebu fikiria mpaka leo gridi ya taifa ya umeme haijafika kusini kila kitu kinapelekwa Arusha, Moshi, Mwanza na Dar es salaam. hiyo reparation km ulivyosema haiwezi kugawiwa kwa kila ktu ila ijenge shule barabara, hospitals nk. DADA Chemi kusini bado sana Wajerumani wana haki ya KUTULIPA sie angalau tujenge chuo kikuu kimoja pale NYUMBI HII bombii HII-AHSANTE