Wednesday, February 06, 2008

Premiere ya Bongoland II itakuwa Minneapolis, Minnesota


Taarifa leo kutoka Kibira Films International zinasema kuwa onyesho la kwanza la sinema mpya, Bongoland II, itakuwa Minneapolis, Minnesota. Tarehe bado haijapangwa.

Pia kuna updates kwenye website ya sinema:




3 comments:

Anonymous said...

Ahh hawa nao wamezidi.Kama wanajua premiere itafanyikiwa wapi,kipi kinawachowashindwa kutaja siku husika ya tukio?Zindueni hiyo filamu,ikiwezekana straight-to-dvd mrejeshe gharama zenu badala ya kutuwekea matangazo ya mwaka mzima.

Anonymous said...

ohhh poor me.

Chemi Che-Mponda said...

Sinema nzuri inachukua muda kuwa edited. Katika dunia ya sinema mbona mwaka ni muda mfupi. Sinema zingine zinachukua hata miaka 10 mpaka ziishe. Nikipata tarehe ya Premiere nitawajulisha.