Monday, February 25, 2008

Mama Pinda na Mama Maria Nyerere

Kutoka Food for Thought Blog

Mke wa Waziri Mkuu, Tunu Pinda(kushoto) akiwa na Mama Maria Nyerere nyumbani kwake Msasani jijini Dar es Salaam hivi karibuni Mke wa waziri mkuu Tunu Pinda pamoja na waziri Mkuu Mizengo Pinda walikwenda kumjulia hali Mama Maria Nyerere.

4 comments:

Anonymous said...

Leo Mama Pinda kahitahidi kuvaa na kumechisha! Mama Maria anavaa vizuri siku hizi hasa tangu Mwalimu aage dunia!

Anonymous said...

Hii fasheni ya kishamba ya siku hizi ya wanawake kutoka wakiwa wametundika shuka begani inanishangaza na kuniudhi kabisa, sipendi kuona! Tenge kuuuubwa kama shuka mtu kalikunja kalibeba begani (wala hajalivaa!) La nini?

Anonymous said...

Wenzake huwa hawaweki hilo likitenge lote begani si litakuangusha? Kuna vitambaa fulani ambavyo huwekwa hapo viko kama mshipi waweza pia jifunga kuchwani lakini si kitenge chote hicho kizito sana, afadhali angeweka kanga ni nyepesi.

Anonymous said...

Mama Pinda kapendeza kama nini, huo ni WIVU tu unawasumbua wabeba maboksi. Wekeni picha za mama yenu tuone wanavyovaa.