Friday, February 15, 2008

Raisi Bush matakoni Mwetu!

Picha na Caption kutoka Food For Thought Blog

Maandalizi ya ujio wa rais George Bush wa marekani yamepamba moto kwa njia mbalimbali kama kanga hii yenye maneno ya kumkaribisha rais huyo nchini ambayo imetolewa rasmi kwa ajili ya mapokezi yake. Picha na Mpoki Bukuku

****************************************************************************

Wapendwa wadau, nawauliza hivi, "WHO IS KISSING WHO'S ARSE HERE?"
Duh, Rais Bush atablow kuona picha yake kwenye matako makubwa ya wanawake wa kiafrika! Wazungu wanavyochukia matako makubwa halafu sasa picha ya rais Bush hiyo! Nadhani TMZ na stesheni zingine, akina Leno na Letterman watafanya utani kweli hapo! Utasikia utani kuhusu, 'sit on it'.
Khanga siyo mbaya ila mmh kuna watu hawapendi kuona uso ya huyo Bush kutokana na vitu alivyofanya kama kuanzisha vita isiyo na maana huko Iraq! Lakini watasema iko where it deserves to be, on an arse!

7 comments:

Anonymous said...

Kweli Bush yuko matakoni mwa dada zetu. Hebu mjambie kabisa!

Anonymous said...

Wazungu wengine mbona wanapenda matako makubwa? By the way kuna matako makubwa ya ajabu katika blogu hii

matakomakubwa.blogspot.com

Anonymous said...

matakomakubwa.blogspot.com

Anonymous said...

Anafanya nini matakani?

Anonymous said...

Nina wasiwasi na spellings zako hasa za hilo neno kalio. Hivi ni mimi nisiyetambua spells halisi ama ulikosea kidogo? Yawezekana ujumbe usifike kwa kuwa wapo watakaoelewa tofauti. Ni wazo tu

Anonymous said...

Huyo dada na amebarikiwa matako makwubwa. AMINA!

Anonymous said...

Huyo dada na amebarikiwa matako makwubwa. AMINA!