Tuesday, February 26, 2008

Kampeni ya Hillary wazua Mambo - Eti Obama ni Msomali!

Laura Bush dons Muslim robes and head scarf
President Bush dons foreign attire
This is what Hillary's campaign is using for fear mongering. They claim that Obama really is a Muslim in hiding! By the way, Obama is not a Somali! That is Somali attire he is dressed in!
President Bill Clinton dons African attire
Woops! Hillary and her daughter Chelsea wear Muslim headscarves!
Hillary dons a Head Scarf!
Now we know that Hillary must be affiliated with terrorists!


Hii kampeni ya uchaguzi Marekani safari hii imezidi kuwa chafu mpaka inatia kichefuchefu! Mara kuna 'plants' za kuharibu ofisi za kampeni, mara kuna wengine ambao kazi yao ni ku-twist ukweli.

Leo nimesikitika sana, tena mno, kusikia baadhi ya wazungu wakisema kuwa kumbe ni kweli Obama ni mwislamu. Oh kumbe yuko Al-Qaeda! Oh, kumbe kaelekea zaidi kwenye Uislamu. Kwenye WCVB TV Channel 5 hapa Boston, mtangazaji alisema kuwa kwenye hiyo picha Obama kavaa nguo za Middle East!

Kisa, kampeni ya Hillary wanazungusha picha kwenye neti ya Obama akiwa amevaa nguo za wazee wa kiSomali. Picha ilipigwa alipotembea huko Kenya mwaka 2006. Hivi Obama si MJaLuo?
Hillary anatafuta kura kwa nguzu sasa huko Texas na Ohio. Alishindwa kwenye uchaguzi wa awali kule ndo mwisho wake katika kugombea. Lakini watu wanasema hii tactic ya kutoa picha itamwangusha Hillary haitamsaidia. Wanasema kuwa kumbea huyo mama ni bytch na yuko tayari kufanya kitu chochote ili ashinde!

Nimebandika picha za waheshimwa wakiwemo Hillary wakiwa wamevaa hijab na nguo zinge zi kiutamduni.

Kwa waongea kimombo:

Hey you ignoramuses out there, Mr. Obama's father is from the Luo tribe ofKenya! He is not a Somali. He was just visiting a group of people who live in Kenya and they showed him their respect!

Plus it is a sign of disrespect no to don the attire of the people you are visiting in some foreign lands. Take a look at the photos above!

Kwa habari zaidi someni:

http://youdecide08.foxnews.com/2008/02/25/photo-showing-obama-in-somali-garb-circulated-by-clinton-campaign-source/

http://www.news.com.au/couriermail/story/0,20797,23277403-952,00.html?from=public_rss

http://www.bayoubuzz.com/News/US/Politics/President_Race_2008/Hillary_Clinton_Over_Hill_With_Obama_Somali_Photo__5883.asp

http://bigheaddc.com/2008/02/25/drudge-falsely-accuses-clinton-of-obama-photo-ties/

5 comments:

Anonymous said...

Politics is a dirty game. One must kiss butt wherever they go.

Anonymous said...

Na wao wakina Obama wacirculate hizo picha za Hillary kwenye mtandao tuone reactions ya watu itakuwaje. Watu wanashindwa kuelewa kuwa dunia hii kila kitu mpangaji ni Mungu, kwani hao waislamu sio watu? Kama ni ugaidi basi hata wa kristo wa Ireland ya kusini waliokuwa wanapiga mabomu kila kukicha London nao ni magaidi. Kweli nyani haoni........!

Waislamu magaidi huku wanaenda kuwalamba miguu kufuata mafuta na pesa za vita!!Si Joji Kichaka ametoka ziara ya Mashariki ya kati hivi karibuni!

Anonymous said...

The good things about this campaign is, at last we came to realise the wolves in disguise. The Clintons are clearly racists though they have managed to hide this for far too long.

Now we know the truth about you Clintons.

Anonymous said...

löl inamaana ukiwa muislam sio binaadamu tena?! Ukiwa muisalam hufai kutawala?! Ukiwa muislam huna haki?! lol. Namuonea huruma sana Clinton, kwa maana hata akishinda tayari ameshajenga chuki na waislam wa marekani na duniani kwa ujumla, namuonea huruma sababu atakuwa maeongeza maadui wa ndani na nje ya nchi yake. Na muonea huruma sababu atakuwa ameujenga nguvu ugaidi ndani na nje ya America, namuonea huruma sababu sasa ndio anawapa nafasi na uhalali waislam kudhihirisha dunia kwamba America ni nchi ya Kikristo, na ni adui mkubwa wa waislam na uislam. Ha ha ha Clinton hapo ndo umechemsha, wewe upo kwenye hatari kuliko Bush,utaweka historia mbili (1)Utakuwa rais wa kwanza wa America mwanamke (2)Utakuwa rais wa kwanza wa America kuuliwa na waislam.

Anonymous said...

Tatizo hapo USA tangu Osama alipue twin towers watu wanaona waislamu kama ni wakatili wasiothamini maisha. Mpaka wanadiriki kuita islam dini ya shetani. Wakiambiwa nchi kama TZ waislamu na wakrisdto wanakaa kwa amani hawawezi kuamini. sinema zote siku hizi bad guy ni mwarabu!