Saturday, February 16, 2008

WaKenya wataka AmaniWaimbaji maarufu wa Kenya wameungana na kutoa wimbo huo wa kuomba Amani nchini mwao.

Asante mdau Subi, kwa kunidokeza kuhusu hii video.

2 comments:

Subi said...

Daima tupo pamoja kwa ajili ya upendo, amani, umoja na heshima ya utu binadamu!

Chris said...

Wat a timely song. It's very nice. We gotta keep on praying for this country and its people.