Monday, February 25, 2008

Auliwa kwa ajili ya Bling Bling zake!Charles Ross (29) ameuliwa na jambazi aliyemwibia bling bling zake mjini New York. Bling bling zenyewe zilikuwa na thamani ya zaidi ya dola $10,000 zikiwemo na pete zenye almasi.
Ross alikuwa ametoka kazini shifti ya usiku anatembea kwa mguu kwenda nyumbani ndipo jamabazi alimvaa kwa nyuma na kumwibia hizo bling bling. Kuiba haikumtosha huyo jambazi, aliamua kutoa roho Ross!
Huko New York mambo yalikuwa posa kidogo lakini siku hizi mmmh!
Kwa habari zaidi BOFYA HAPA:

1 comment:

Tor Hershman said...

You have a most interesting blog.

Best Regards,
Tor