Thursday, February 07, 2008

Lowassa Ajiuzulu Uwaziri Mkuu!!!!


DAH! Yaani wadau kwa kweli mnisamehe, maana hii habari ya Mhesimiwa Lowassa nimesikia saa hizi, 9:56Am (EST). Nilikuwa busy na mambo ya audition ya sinema fulani.

Kwa kweli nimeshutuka sana na nimesikitika mno hasa chanzo cha kujizulu kwake. Ila nimefurahi kuona kuwa Tanzania kuna haki ya kusema siku hizi, FREEDOM OF SPEECH. Na safari hii uchunguzi ulifanyika na haikutiwa maji!

Dr. Harrison Mwakyembe, NAKUSIFU! Bado unaujasiri wa enzi zile! Ila uko salama kweli sasa?


Haya tuone nani atateuliwa kuwa Waziri Mkuu sasa. Any suggestions/predictions?



*******************************************************************************


HABARI TOKA DODOMA SASA HIVI ZINASEMA KUWA SPIKA WA BUNGE MH. SAMWEL SITTA AMETANGAZA KWAMBA MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA AMEAMUA KUJIUZULU UWAZIRI MKUU.

MH. SPIKA BAADA YA KUTANGAZA HILO AMESEMA MJADALA WA RIPOTI YA RICHMOND, NA SIO MJADALA WA LOWASSA, NDIO UENDELEE. NA NDICHO KINACHOFANYIKA HIVI SASA HUKO BUNGENI.

HABARI ZAIDI ZINASEMA KWAMBA MH. LOWASSA AMESEMA KWAMBA INGAWA HAJAMTAARIFU JK UAMUZI WAKE HUO, AMEAMUA KUJIWEKA KANDO!

*************************************************************

KARAMAGI NAYE AOMBA KUJIZULU!

KARAMAGI NAYE AOMBA KUACHIA NGAZI

MH. NAZIR KARAMAGI AMEMALIZA KUJIELEZA NA AMELIAMBIA BUNGE KWAMBA NA YEYE LEO ASUBUHI AMEPELEKA BARUA KWA JK KUOMBA KUJIUZURU WADHIFA WAKE WA UWAZIRI WA NISHATI NA MADINI.

YEYE PIA AMEJITETEA KWAMBA HANA HATIA KATIKA SAKATA HILI!
******************************************************************

MSABAHA NAYE AJIUZULU!
MSABAHA NAYE AMWAGA MANYANGA

WAZIRI WA AFRIKA MASHARIKI AMBAYE AWALI ALIKUWA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI DK MSABAHA NAYE KAMPELEKEA BARUA JK KUOMBA KUJIUZURU KWA MUJIBU WA MAELEZO YAKE ALIYOTOA DAKIKA HII BUNGENI

WHAT A SAD DAY IN TANZANIA POLITICS!

4 comments:

Anonymous said...

Dada its a not a sad day in Tanzanian Politics bali Democcracy and Transparency have taken its course. Every dog has its day honey. Its an historic event for Tanzania and African politics. sina zaidi mie yangu macho

Chemi Che-Mponda said...

Ama kweli ni historic event. Would you have ever thought that such a thing was possible?

It's sad to see our trusted leaders let us down. Who benefited? Wananchi wameumia, bei ya umeme umepanda, kwa nini?

Kweli this a a NEW TANZANIA!

Anonymous said...

ooh well Chemi, our leders have been letting us down for decades god knows honey.....People live large in Tanzania chemi to the point of asking yourself as to how tey accumulate their wealth.... Clonism is rife within ccm kama baba sio waziri au hakuwahi kuwa ndani ya system then you got no chance!!!! one good example ni the so called Sir G Kahama... i'm sure unamfahamu alikuwa MP wa kwetu his wife got ellected kwa special seats... There you go.. how many tallented Tanzanian women unawafahamu off ya head? My insticts tells me that even JK should be taken to task with his shambolic clonnies.

Anonymous said...

Huyu Lowassa anatakiwa achinjwe huyu