Friday, February 15, 2008

Mjue Msanii wa Bongo - Shafii Abdul

Shaffii Abdul in a scene from Bongoland II

Shaffii Abdul (26) ni mwigizaji maarufu nchini Tanzania. Katika sinema ya Bongoland II anacheza kama Hamisi, mdogo wake Juma ambaye ni mhusika mkuu wa sinema. Shaffii amecheza vizuri sana kama mtu mwenye hasira za karibu.

Kusoma habari zake tembelea:

http://bongoland2.blogspot.com/

1 comment:

Anonymous said...

Kijana anaonekana anatimua mbio hapo kwenye picha. Kuna nini?