Thursday, April 05, 2012

Mshiko Boston - Big Brother na Grown Ups 2


Wadau, Sande Alessi Casting wanatafuta watu wa kuwa extras katika sinema mpya, Grown Ups 2! Itapigwa Massachusetts maeneo ya Marblehead wakati wa summer.  Hii kazi inalipa na lazima uwe na makaratasi!

Tutaonana kwenye Casting Call mwezi ujao!

Mwaka jana, mimi na marafiiki zangu wengi tulishiriki katika sinema That's My Boy! Nilikuwa kwenye crew kwa hiyo hamtaniona. Siname hiyo ikitoa nitaweza kusimulia jinsi ilikuwa karibu niwe stelingi katika hiyo sinema. Kwa sasa siwezi kusema kitu mpaka sinema ikitoka mwezi wa sita.

Mnaweza kuona Trailer yake kwa kubofya hapa!:

********************************************************

CBS "Big Brother 14" Open Casting Call info.:

Saturday April 7, 2012 ( 12pm – 2pm )
Julep Bar
200 High Street
Boston, MA 02110

http://bigbrothercasting.tv/uploads/files/BB14_Eligibility.pdf

If you can't make the open call, you can send a video. Details here: bigbrothercasting.tv/Official-Big-Brother-Casting-Home
bigbrothercasting.tv

No comments: