Tuesday, April 24, 2012

Sugar Daddy Bongo

Picha na Mchoraji  DIDI

7 comments:

emu-three said...

Kweli fedha fedheha....je alaumiwe nani hapa,mwenye pesa au anayetafuta pesa?

Malkiory Matiya said...

Chemi! bado sijafanikiwa kukubatiza.

Anonymous said...

Mzee huyu anajitafutia shindikizo la moyo,huu mzigo ni mzito unahitaji mwanamichezo[kijana mwenye mazoezi]atakae miliki dakika 90 na ikiwezekana 30 za ziada.Mzee itabidi atumie viagra ambayo ni hatari kwa wazee.Paramedic wawe stand by kumuokoa babu mlafi.

Anonymous said...

YAANI KAZI KWELI KWELI LAKINI WAJAMENI NINI CHA AJABU HAPO HIO NI NATURE YA MWANAUME , LAZIMA ANASISIMSHWA VIZURI NA MWANAMKE KIJANA !HATA MIMI NINA UMRI WA MIAKA 48 SASA NAKWENDA HUKO HUKO NI IKIBIDI NITAJIUNGA NA CHAMA HICHO KWANI NANI ATAMFUATA MWANAMKE MZEE? WA NINI KWANZA,ALLLA SHIKA ADABU YAKO BANA. LAKINI WEWE DADA CHEMI HIO UMEIGUNDA WAPI? HUO NI UCHIOKOZI UTATAKA TU SISI WANAUME TUANZE KUSEMA OVYO!!!!!

Anonymous said...

lakini jamaa hapo naona kakaa kama mzee nanii vile!!!!!!!!?

Anonymous said...

Babu jamani anatumia hela yake babuu haaa, shuti kujimwaga kwa totos, shuti anataka aitwe Baby hapo chcha si mchezo, kwa kuwa pesa ni njenje haaaa hakuna noma hapo babu ataitwa baby tu bila wasi wasi

Anonymous said...

Dunia ina mambo da Chemi, mi nakaona kabinti kashule hapa Dodoma, kana miaka 25 na jkanatembea na mkaka wa kama 42 tu, yeye ndo anamtunza huyo kaka, anampiga pamba, viatu anampikia mapochopocho... huwezi amini, tulizoea wasichana wadogo wakitembea na wanaume wakubwa wanafuattaga hela huyu tofauti....kwahiyo hilo tusishangae sana ni kupenda tuuu