Sunday, April 08, 2012

Rais Kikwete Kwenye Msiba wa Steven Kanumba Sinza

Rais Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es salaam leo April 8, 2012 kwa ajili ya kutoa mkono wa pole kwa wafiwa (picha na Freddy Maro wa Ikulu)
Rais Kikwete akiongea na wanakamati ya msiba wa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es salaam leo April 8, 2012 alikofika kuomboleza nao kifo hicho (Picha na Freddy Maro wa Ikulu)


Rais Kikwete akiaga waombolezaji  nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es salaam leo April 8, 2012 alikofika kuomboleza nao kifo hicho. Katika picha hii anamsalimia mwingizaji maarufu wa Bongo, Mzee Ahmed Olotu. ( Picha na Freddy Maro)

Rais Kikwete akiongea na wanahabari  nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es salaam leo April 8, 2012 alikofika kuomboleza nao kifo hicho. (Freddy Maro)

4 comments:

Eddy said...

Naanza na samahani, maana hii si hali ya kawaida kwa mtazamo wa jicho la kengeza. Majuzi hivi tulifiwa na Mzee wetu Mzee Saidi Fundi Kipara.Hatukuona viongozi kutoa haya mamilioni kusaidia wafiwa. Mzee kipara ni mmoja kati waasisi ya fani ktk nchi yetu. Ameumwa hatukumuona hata katibu kata akienda kutoa pesa za kata kusema tumsaidie matibabu. Lakini Mungu anawaona kwa hayo muyatendayo basi mjue ipo siku nanyi au nasi tutakuwa pamoja ktk tumbo la Ardhi. Wakati huo mtawala wa Ufalme wa kweli ndipo atakapoamua kuhusu dhulma hizi mzifanyazo. Shukrani naomba da chemi usiibanie hii pls.Thanks.

Juma Nassoro said...

naitwa juma nassoro from sauth africa jamani watanzania tuwe wavumilivu wa msiba sio kila m2 anaongea anavojua huyo lulu kwa upande wangu mimi naona sio wakulaumiwa sanaaaaaaaaaa kifo cha kanumba kilisha andikwa kweye mikono ya lulu tangu siku anazaliwa na alipofika duniani kwahio lulu siowakulaimiwa sana hamna m2 yoyote alioshudia ugomvi wao chumbani hujui marehemu labda alikua anampiga huyo binti chumbani wazo la leo gazetini wabongo tunaongea sanaaaaaa tupunnguze tilalila za mdomo sanaaaaaaaaaaa tufanye kazi tujenge tifa naitwa juma ubwa kibongo bongo magomeni mwembe chai msikitini sasaivi pritoria sauthi africa mungu ailaze mahali pema peponi amin je utamkumbuka mungu wako alio kumba kutokana nakifo cha kanumba na wengineo walikufa

Anonymous said...

SORRY FOR THE ENTIRE FAMILY & COLLIGUES OF THE LATE STEVEN KANUMBA.IT’S REALLY SUPRISING AND A BIG SHOCK TO THE WHOLE NATION.WE HAVE LOST A GREAT PERSON. MAY GOD REST HIS SOUL IN PEACE.

Anonymous said...

Ana kweli kufa kufaana. Hivi JB na Ray walitegemea kuwa kuna siku watashikana mikono na Kikwete?