Sunday, April 08, 2012

Rais Kikwete Asaini Kitabu cha Rambirambi -IGP Guido Mahundi


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo kwa kifo cha Inspekta Jenerali wa Polisi Mstaafu Marehemu Harun Mahundi aliyefariki april 5, 2012 na kuzikwa jana jijini Dar es salaam. Hapo ni nyumbani kwa marehemu Mikocheni barabara ya Rose Garden (picha na Freddy Maro wa Ikulu)

2 comments:

Anonymous said...

oh! Kifo cha Kanumba ni changamoto kwetu tuliobaki hai kwani hatujui siku wala saa ya kufa kwetu.Yafaa kukaa tayari tumejiweka wakfu kwa MUNGU wetu na sio tulemewe na hanasa za Dunia japo tuwe na uwezo!

Anonymous said...

Ahsante Kiongozi JK kwa kutushika mkono na kutupa mkono wa pole,,,Ndivyo ilivyo, yanapotokea, inachukua muda kuzoea na kuelewa kuwa Kanumba hayupo nasi tena, kifo cha Huyu Kijana Msanii wa Sinema kiwegusa wanachi wengi sana !