Friday, April 06, 2012

Bongo Superstar Steven Kanumba Afariki Dunia!

Steven Kanumba
Mwigazaji maarufu wa Tanzania, Steven Kanumba aka. Denzel wa Tanzania, amefariki dunia leo jioni mjini Dar es Salaam.

Habari nilizosikia ni kuwa amefariki ghafla! 

Mungu ailaze roho yake mahala pema mbinguni. Amen.

Nalia, Tanzania imepoteza msanii mwenye kipaji na moyo wa fani yake. Pia ilikuwa ni ndoto yangu kuigiza sinema na Kanumba.

Mwaka 2007 Waaigizaji  Steven Kanumba (kulia) na Emmanuel Myamba (kushoto) walikuja kututembelea kwenye set ya sinema Bongoland 2, wakati tulikuwa Magomeni Mikumi mjini Dar es Salaam.

2 comments:

Anonymous said...

Sasa huyo Lulu atashitakiwa kwa mauaji au? Mungu ailaze roho yaka mahala pema mbinguni. Amen.

Anonymous said...

Sasa huyo Lulu atashitakiwa kwa mauaji au? Mungu ailaze roho yaka mahala pema mbinguni. Amen.