Saturday, April 07, 2012

Lulu aka Elizabeth Michael Afurahia kuwa na miaka 18!

 

http://www.youtube.com/watch?v=S4FtMCz9Ngs&feature=player_embedded#!

Zamaradi Mtetema anamhoji msanii Elizabeth 'Lulu' Michael kuhusu maisha yake akiwa na miaka 18 na si mtoto tena.

Inadaiwa ilitokea ugomvi kati ya yeye na marehemu Steven Kanumba na ndo chanzo chanzo cha kifo cha Kanumba.

7 comments:

Anonymous said...

Kuna muhibiri mmoja alikuwa anahubiri kwa kusema "kuna watu wanafariki na ushahidi wa matendo yao" sitoi hukumu lakini ukweli husemwa! kuwa na wapenzi kibao bila kuoana ni kosa kwa dini kuu zilizopo TZ, Ndio ameshakufa, lakini mimi binafsi nimepata funzo la kumrudia Muumba na kujitahidi nioe mke nife kwenye ndoa ya halali! Wanasema wasanii ni vio vya jamii, lakini ukweli ni wapotosha jamii! kioo cha jamii maana yake unafanya mambo yanayopendaza kijamii, imeandikwa USIZINI hiki ndicho kioooo

Anonymous said...

Huyu lulu, aliulizwa kwenye kipindi cha mikasi na salama "do yu have a bf" kikoje salama am too young sina bf wala sitaki! Shame on yu lulu!

Anonymous said...

RIP the Greatest! Inasikitisha sana, na tusisahau siku ikifika inafika. One reason or another we all have to go. Namwonea huruma sana huyu binti, mtoto mdogo ametaka magubwa na yamemkuta makubwa kuliko urefu wake. Kweli serikali inachukua hatua yake! Sasa nani tena kama yeye Steven!!

Anonymous said...

Wanaomtetea Lulu na kudai si mtuhumiwa wanatamani mapaja yake tu lakini kwa hiki huyu anayo kesi ya kujibu tena murder case.

Anonymous said...

I am, the no Sender.

Now Elizbeth will be awash with the thoughts of had I known.

'Had I known I wouldn't have pushed him'

'Had I known I would have given him the phone'

'Had I known I would have come to spend time in his home'..etc.

Anger, cheating in relationships, lust, deception are things condemnable by God. Indulging in them can be disastrous. Let this be a lesson to us all. It's a pity another life wasted, and for what?

Anonymous said...

Kiukweli sheria ifuate mkondo wake. Ila wakati mwingne namuonea huruma sana kwa mtoto mdogo kama lulu kuspend maisha yake gerezani kiasi kwamba atakuwa amepoteza ndoto zake nying sana.

Mdau wa Norway said...

mimi mpaka naogopa kuwa star celebrity yaani angalia michael jackson pepe kalle whitney houston steven kanumba lucky dube bob marley marvin gaye na wengine wengi kwa nini vifo vyao siyo vya kawaida kama wengine wanakufa mapema na vifo vyao ni kushitkiza tu, wakiwa bado vijana kabisa tena vya utata utata tu. nakubaliana na mdau hapo juu Lulu michael hajamwua ni bahati mbaya tu amekuwa scap goat tu. kanumba kajigonga kichwa baada ya kuweweseka alipo taka kuchukua simu ya mpenzi wake na lulu kum push asimnyanganye simu kanumba kayumba na ukumbuke tayari alikuwa kamaliza tendo la ndoa na amekunywa whisky. hii combination inakuvunja nguvu kabisa ya kujihami ukidondoka chini.kwa hiyo mimi naona ni bahati mbaya na hasira tendo la ndoa whisky vimechangia. hakuna cha kufanya lakini lulu sasa utulie acha tabia ya kutaka kila corner tafuta bwana tulia nyumbani huo usupa star unaoutafuta hata siuoni. angalia all this mess sasa? olewa utulizane kama unapenda mapenzi acha kupenda huku na kule.nasema huja mwua kanumba lakini tulizana kaa nyumbani kama ni hizo senema cheza na achana na kulukaluka. mimi ni mdau kutoka Norway. nasomea psychologia ya binadamu na wanyama( human and animal psychology)