Tuesday, April 10, 2012

Mliozika Ndugu Kinondoni Mkacheki Hali ya Kaburi Zao!!!

Wadau, nilijua itatokea!  Makaburi mengi huko katika makaburi ya Kinondoni yameharibiwa leo na umati walioenda kuhudhuria mazishi ya marehemu Bongo Superstar Steven Kanumba.  Kweli watu hawana heshima kwa wafu! Pole sana Profesa Msuya!
KUONA PICHA ZAIDI ZA UHARIBIFU KATIKA MAKABURI YA KINONDONI  NA MAZISHI YA STEVEN KANUMBA BOFYA HAPA:

5 comments:

Anonymous said...

Ingekuwa safi kama mzimu angevuta chini huyo mama aliyelala kwenye kaburi!

Anonymous said...

Wabongo tukoje jamani!!!! Nani atagharimu repairs za hayo makaburi!

Anonymous said...

WATANZANIA SISI SIO WASTAARABU HALAFU PIA KAMATI WANGETOA NAFASI KWA FAMILIA NA WATU WACHACHE KUINGIA HAPO MAKABURINI MAANA WALIKUWA LEADERS SASA MAKABURINI WANAFATA NINI KAMA SI UMBEA TU!!!!

Anonymous said...

Jamani, jamani! Watanzania wenzangu mmeniabisha kweli leo! Nuksi zitawafuata hao wavunja makaburi!

Anonymous said...

Kwenye mazishi ya Kanumba watu walikuwa wanaimba, "tunamtaka Muaji Lulu...tulidhani shemeji lakini Muaaji!"!