Thursday, February 07, 2008

Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete - Februari 7, 2008 -SAMAHANI

Wapendwa wadau, naomba mnisamehe hapo.

Ilikuwa usiku na siku verify kama Mh. Rais alisoma speech kweli. Nimegundua ni usanii unaozunguka kwenye internet.

7 comments:

Anonymous said...

Nchi hii ina wazalendo kabisa,Ina watu wanaopenda haki itendeke kwa wote,ina watu wenye huruma ya dhati sio ya kuigiza. Hebe tuangalie mchakato mzima wa swala hili kwa kweli!mimi binafsi ilifika mahala nikashindwa kujizui a kutoa machozi!!Ninacho washauli watanzania wenzangu tumuunge mkono Mheshimiwa Rais wetu mwenye uchungu wa kweli wa watu wake,Na hii iwe changamoto kwa viongozi wa ngazi zote nina maana hata kwenye sector binafsi kuna watu wa namna hiyo pia.Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Rais wetu.

Anonymous said...

Amakweli mjenga nchi ni mwananchi na mvunja nchi ni mwananchi,Mungu ibariki Tanzania,Mungu mbariki Rais wetu

Anonymous said...

Da Chemi acha usani

Anonymous said...

Mh. rais hajalihutubia bunge, na ningekushuri kufanya utafiti kabla ya ku-post mambo ya jinsi hii, hususani kwa wakati huu.

Anonymous said...

Chemponda be serious.Ukiweka hotuba ya Rais weka hotua usiweke imaginary speech unapotosha watu.Watu walipiga simu wakisema wameona hotuba ya Rais kwenye blog ya Chemponda.Wakati ni imaginary speech.

Be serious Baby when it comes to serious things.

Anonymous said...

Da Chemi

Mimi nimepata uchungu mno. Waadilifu Tanzania wapo ila wako juu ya mawe kwa sababu Edward Lowassa hakuwapenda na hawakuwa wana mtandao.
Aibu sasa imefunguka. Tukicheza tutauana. Nchi iko kwenye mtikisiko mkubwa kiasi kwamba watu wasipokuwa makini, mambo yatakuwa si mambo.
Nadhani inabidi kabla ya kuwapa uwaziri, kiapo hakitoshi, wakiri kuwa hawajawahi kushiriki ufisadi wowote na wakibainika washitakiwe moja kwa moja na kifungo cha maisha.
Tuwe wakali kidogo, hauwezi kuendelea kwa kuogopa kufanya maamuzi magumu

Anonymous said...

Mbona jana hatukusikia hii hotuba.Au Mhe. Rais aliisoma bila kurushwa hewani na vyombo vya habari? hebu tupashe.