Tuesday, June 10, 2008

Ajali ya Helikopta Arusha

(picha kutoka ippmedia.com)

Helikopta ya JWTZ imeanguka maeneo ya Oljoro, Arusha na kuua abiria wote sita. Wiki Iliyopita helikopta hiyo hiyo ilikuwa inafanya doria kwenye mkutano wa Sullivan.

Kutoka Michuzi Blog

HELIKOPTA ya Jeshi la Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania (pichani ilipokuwa imepaki uwanja wa arusha kabla ya ajali) iliyokuwa ikifanya doria wakati wa Mkutano wa Leon H. Sullivan uliofanyika mjini hapa wiki iliyopita, imeanguka na kuua abiria wake wote sita. Kwa habari kamili bofya hapa
*****************************************

Mungu alaze roho zao mahala pema mbinguni. AMEN.

No comments: