Monday, June 30, 2008

Wanenguaji wa Kenya





Picha kwa hisani ya Kazungu Samuel

Wasichana wa Kikenya wanavyozuga jukwaani huko Mombasa.

4 comments:

Anonymous said...

Kwa nini lazima wananenugua wakiwa karibu uchi?

Anonymous said...

Jamani, huyo dada wa chini yuko uchi. Si uongo!

Anonymous said...

mbona akina dada wanapenda sana kukaa uchi?au ni vizuri wanawake kuonyesha sehemu zao za uchi*..mimi naona show nyingi wanaume hawakai uchi..ni kweli wanawake wamelaaniwa tokea enzi ya eve..kwa kumtamanisha adam .katika bustani ....ndio maana mpaka miaka hii yote bado wanapenda kuwashawishi wanaume kwa kukaa uchi
mfilisika wa mawazo

brother I said...

mi sioni hata uchi wenyewe hapo.sema tu na nyie mshafirisha mawazo yenu mbaaali.kila fani iko kivyake,wanenguaji kuvaa hivyo inaleta ladha fulani.sasa anacheza dancehall unataka sijui avae suti?