Sunday, June 29, 2008

Humshindi huyo ndege kwa kucheza Ngoma!

Asante Da Subi kwa kuniletea hii kideo.

Cheki ndege anavyocheza kwa 'rhythm' kabisa! Lazima katoka Afrika huyo.

4 comments:

Anonymous said...

Mamaaaweee! Anaimba pia!

Mamdogo said...

Mweeee! Makubwa

Anonymous said...

hiyo imekaa vizuri...lol

Anonymous said...

kama wakina temba wa tmk!!!