Wednesday, June 18, 2008

Ubongo wa Shoga



Watafiti wamechunguza ubongo wa mashoga na wasenge 90 ma wamegundua kitu fulani.

Wamekuta kuwa ubongo wa mwanaume mpenda jinsia moja ni sawa na ubongo wa mwanamke wa kawaida ambaye anampenda mwanaume. Wanasema kuwa huyo mwanaume mwenye ubongo wa hivyo anaweza kuwa na kila kitu cha kiume, shepu ya dume, nyeti za dume, mavuzi na sauti ya dume nk. Kasoro ni muumbo wa ubongo.

Na pia wamekuta kuwa ubongo wa mwanamke mpenda jinsia moja (lesbo) ni sawa na ya mwanaume wa kawaida ambaye anampenda mwanamke. Naye anaweza kuwa na kila kitu cha kike kasoro muumbo wa ubongo. Kwa hiyo huyo mwanamke mwenye ubongo wa hivyo akimtazama mwanamke mwenzake ni sawa na mwanume kumwangalia mwanamke.

Haya! Hivi ina maana ni kweli mtu akisema kazaliwa shoga anasema ukweli kumbe?
Ukitaka kusoma ripoti nzima, BOFYA HAPA:

2 comments:

Anonymous said...

ina maana kwamba wasenge wote duniani .wanafanana?lakini mimi naona kama kuna tofauti,sio ubongo ndio genes,au muundo wao.kwani utaona wasenge kama wa india.au kibongo,wao ni njaa ndio inawafanya wafanye ushoga..tofauti na mashoga wa ulaya au arabuni .wao ni genes zao zinawafanya kua mashoga..yani kama watu wa thailand wanaanza kufanya ushoga tokea wadogo ili wapate riziki ya maisha yao..kuwajibika kimaisha i mean....huo ni uchambuzi wangu..kufirwa kwa genes na kufirwa kwa shida ya kimaisha.sio ubongo.n.k
mwana blog

Anonymous said...

wasenge ni wasenge tu na lesbian ni lesbian..hiyo ipo katika damu ya mtu.labda kujifundisha au kujaribu kutaka kupata starehe?je mnyoaji na mnyolewaji nywele nayesikia utamu ni nani?tujiulize basi swali hili,nina maana anayefirwa na anayefira ,,pia ana kasoro kataika ubongo wake?ina maana mabasha basi wana genes za kibasha?au wanawake wanaoliwa tigo nao wana kasoro za ubongo wao?.zote ni raha za mtu kibanfsi mpaka ndani ya roho..nijibu wewe dada chemi
mtu wa bongo