Saturday, June 14, 2008

MKenya abaka mvulana huko Philadelphia

Fred Magondu akisindikizwa kortini na polisi


Asante mdau Subi kwa habari hizi.

Huko Philadelphia, nesi wa kiume ambaye alikuwa anaangalia vijana wenye upungufu wa akili , alimbaka moja wao. Kijana mwenyewe ana miaka 14. Wanasema mtoto ni kipofu, na hajiwezi.

Nesi ametambulika kama MKenya, Fred Magondu, 36. Kwanza nilidhani wamemsingizia lakini wana ushahidi wa DNA. Walipima shahawa zilizokuwa kwa yule kijana. Magondu mwenyewe ana mke na watoto! Jamani! Aibu kweli kwa familia yake.

***************************************************************************

Mwenye kujifunza na ajifunze, mwenye kutoa onyo kwa wengine na atoe.
Subi

Male nurse charged with raping boy

By MATT COUGHLIN Bucks County Courier Times


A nurse caring for a physically and mentally impaired 14-year-old Bucks County boy is accused of raping the teen in April, according to police.

Fred Magondu, 36, a Kenyan national living on King Arthur Road in Philadelphia, was taken into custody at a Philadelphia nursing home Thursday afternoon and later arraigned on charges of molesting a child who was in his care.

Police said they learned of the rape April 30. The boy receives 24-hour nursing care because he is mentally and physically impaired, unable to speak and blind, police said. According to court records, another individual care nurse, who has been caring for the boy for about nine years, discovered injuries to the boy when she attempted to change his diaper after he arrived at school April 30.

The boy was first examined at St. Mary Medical Center in Middletown and then transferred to The Children's Hospital of Philadelphia. Doctors at both hospitals told police the boy was bleeding and bruised.

Police learned that Magondu, a Harleysville Pediatrics employee who has been caring for the boy for several months, was working at the victim's home from April 29 to 30. Magondu was allegedly alone with the boy from 5 a.m. to 7:40 a.m. before putting him on the bus to school, police said.

Investigators interviewed Magondu in early May at an unnamed Philadelphia nursing home where he works, according to court records. Magondu said that on April 30 the boy had been bleeding but the nurse believed it was a physical problem and had changed a set of soiled linens. Police collected a sample of Magondu's DNA and the boy's bed linens and sent them to National Medical Services for analysis.

In a report to police June 6, the laboratory said the linens tested positive for semen that matched Magondu's DNA and that the possibility of it being from another unrelated person was 1 in 7 trillion, according to court records.

Magondu was arraigned on multiple charges of rape, involuntary deviate sexual intercourse, indecent assault, corruption of minors and unlawful contact with minors and sent to Bucks County prison on $250,000 bail. If he is released, the judge ordered that Magondu have no contact with the child and surrender his passport to authorities.

Magondu has been a practical nurse since June 2006 and had renewed his license earlier this month, according to Department of State records. Those records list no prior disciplinary action. He also has an expired graduate permit that lists a prior address in Falls. During his arraignment Magondu told the judge he moved to Philadelphia from Fairless Hills with his wife and three children in January. He has no prior criminal record in Pennsylvania, according to state records.
The newspaper is withholding information about the teen to protect his identity.

Matt Coughlin can be reached at 215-949-4172 or mcoughlin@phillyBurbs.com.

June 13, 2008

13 comments:

Subi said...

Wakati mwingine huwa mtu unatamani habari kama hizi zisiwe za kweli.
Wenye kufanya uchunguzi na wafanye kwa maadili, ikiwa mtuhumiwa hakutenda kosa basi na apatiwe hukumu ya haki lakini ikiwa kosa alilitenda basi na hukumu ya haki vile vile impase kwa mujibu wa sheria tulizonazo.

Kwa vyovyote viwavyo, ikiwa mtoto huyu alidhulumiwa utu wake, ni ukatili na unyama mbaya mno.

Hatimaye, Maulana tu ndiye mjuaji na mtoa hukumu ya haki.

Anonymous said...

Duh! Jamani hii ni aibu kwa mababa wote wakiafrika. A classic case ya chui kuchunga mbuzi... kumbe Magondu kaona mlo.

Sasa itakuwaje yeye na mkewe na wana wao? Hivi si mtu kama huyo anaweza mbaka mtoto wake mwenyewe!

Anonymous said...

Duh afadhali amekamatwa, Wakenya huwa wanajifaanya wajanja sana kila sehemu, kumbe basha, tabia mbaya!

Anonymous said...

Hola:
Acabo de ver tu blog.
Espero que visites mis blogs, son fotos de mi pueblo, de Espa├▒a y de Italia y Francia:

http://blog.iespana.es/jfmmzorita

http://blog.iespana.es/jfmm1

http://blog.iespana.es/jfmarcelo

donde encontrarás los enlaces de todos los blogs.
UN SALUDO.

Anonymous said...

Mke wake alikuwa hampi uroda? Kisa cha kutembea na tahira? Khaa bora hiyo DNA wamemwumbua, huko Afrika ndo akina Babu Basha huyo!

Anonymous said...

sheria ifate mkondo wake. kah ametia aibu sana. tamaa ikikomaa huzaa dhambi,dhambi ikikomaa kuzaa mauti.
Ms Bennett

Anonymous said...

subi leo umeleta habari zenye akili hivi ndo inavyotakiwa siyo yale mambi yako unayoletaga mara oohh ngojeni niwachekeshe halafu tukija kusoma hatucheki....

Anonymous said...

Babu Basha hata Kenya jamani! Tena wanapeleka ubasha wao Marekani. Aibu! Sasa kila mkenya watamwona kama basha!

Anonymous said...

LOH! Yeye Babu Basha lakini huko Prison yeye ndo atakuwa mke wa Big Bob!

Anonymous said...

halafu na wewe da chemi acha u-racist. Kichwa cha habari kama hiki "Mkenya... blah blah blah" hakifai.

Anonymous said...

Kwa niaba ya Chemi ngoja nikufurahishe anon June 17, 2008 6:31 AM, "aliyebaka ni Mtanzania!" teheteheteheth

Tuplionyu said...

Hakuna ubaya kutaja uraia wa mtu. Nyie wakenya kama hamtaki kutajwa kwenye taarifa ya habari basi acheni kufanya uhalifu!

mbu said...

Ni kweli taarifa mabaya kuhusu mkenya au kenya kwa kawaida ndizo zinatajwa hapa nshaona mara nyingi.

Sasa wewe "tuplionyu" kwa tamko lako unamaanisha kazi ya wakenya ni uhalifu. Kitendo cha mmoja (au wachache) kinawekwa kama ni vitendo vya wakenya kwa ujumla?

We (tuplionyu) achana na upuuzi, naweza taja mambo mengi ya kuaibisha ya watanzania lakini hazina faida yoyote ila kuhochea hasira kwa ndugu zangu. Unasahau mpaka uliundwa na wakoloni?

nshatoshwa kusikia general statements.

(ndiyo mi ni mkenya kama hujashuku!)