Thursday, June 19, 2008

Hongera Boston Celtics


Timu ya Basketball ya Boston Celtics ni washindi mwaka huu wa NBA. Waliwatwanga, timu ya L.A. Lakers 131-92.

Ni mara ya kwanza tangu 1986, kwa timu ya Celtics kutwaa ubingwa.

Leo kuna shere kubwa sana hapa Boston. Barabara nyingi zimefungwa downtown. Zaidi ya watu milioni moja wamejitokeza kusherekea ushindi wa Celtics.

Sasa watu wa New England tunaweza kujivunia kweli. Red Sox ni washindi wa baseball, Patriots ni washindi wa Football na sasa Celtics ni washindi wa Basketball.
Kwa habari zaidi someni:

1 comment:

Anonymous said...

Ligi ya vilabu vya marekani tu, lakini hujiita WORLD CHAMPIONS! Ndo maana wanasema MAJUU HAMNAZO!