Monday, June 30, 2008

Tamasha la Kukata na Shoka Pwani nchini Kenya











Picha kwa hisani ya mdau, Kazungu Samuel.
Dada Chemi, hivi ndivyo ilivyokuwa katika ukumbi wa Jomo Kenyatta Public Beach viungani mwa jiji la Mombasa wakati wakazi wa pwani walipojitokeza katika tamasha la Family Fun Show ambalo liliandaliwa na stesheni ya Pwani FC pamoja na kampuni ya Kaluworks. Kwa kweli ufuo ulifurika kama unavyoona katika picha hizi. Weka kwa blog wabongo wajue kuwa hata Kenya jamaa hupenda kujirusha.
Kazungu Samuel(Mhimili)

1 comment:

Anonymous said...

nategemea kama sherehe kama hizi au beach party hizi .zitaweza kuwaelimisha .vijana .kujiadhari na magonjwa yanaoletwa na zinaa..itakua ni vizuri kuwapa masomo.kuhusu afya zao na mambo mengi ya..jamii bora
mwana blogg