Monday, June 02, 2008

Michuzi na Chris Tucker

Kutoka Michuzi Blog

" chris tucker kumbe naye ni mdau wa globu hii ya jamii. acha aning'ang'anie nipige nae snepu"
****************************************************
Renowned Tanzania photojournalist, Muhidini Issa Michuzi poses with American Actor, Chris Tucker (Rush Hour) during his visit to Tanzania. Chris is in Arusha, Tanzania attending the Leon H. Sullivan Summit.

10 comments:

Anonymous said...

That's really funny! LMAO!

Anonymous said...

Sasa Wewe michuzi mbona umemsogelea hivyo mwanaume mwenzako??!!@
Pumbuj4
kolumbusi
ohio

Anonymous said...

Labda huyo Chris ndo kamsogelea Michuzi.

Anonymous said...

Mi I think Chemmy hauko aware na Nchi yako huu ni uzalendo kweli?Chriss Tucker yuko Tanzania kwenye Sullivan Summit inayoendelea Tanzania - Arusha,Sio his recent visit 2 Tanzania elezea uhamasishe wa Marekani

Anonymous said...

hehehehehe

Anonymous said...

Yaani mmesogeleana kweli kweli.

Anonymous said...

Mbona huonyeshi mambo ya Sullivan wewe mwana mama sisi huku ugaibuni twafurahia nchi yetu ila hao Mafisadi kam huku USA wana majumba na mitaaa kabisaa na nyumba zao wanatuchefua ila watakufa kifo kibaya hao

Anonymous said...

machangudoa wanavyomvizia huyo chris tucker si mchezo!

Anonymous said...

Eti da Chemi kuna uvumi kuwa Issa michuzi kabadili jina anaitwa ISSAH M. CHRISS TUCKER"MICHUZI"ilikujioongezea ujiko je ni kweli au kamba tu za watu?

Anonymous said...

Wabongo bwana. Michuzi ni mtu mzito Bongo na duniani. Hana haja ya kuongeza eti Chriss Tucker kwenye jina lake.