Friday, June 06, 2008

Kaniki

Picha Kutoka Maggid Mjengwa Blog

Wadau, mnakubuka kaniki. Nakumbuka kuona wazee kijijini wamevaa. Hapo zamani za kale zilikuwa na soko sana. Siku hizi tunaziona sana sana kwa wacheza ngoma.

1 comment:

Anonymous said...

Kaniki bei poa. Shs. 3000/- tu!