Wednesday, June 04, 2008

Miss Unvierse Tanzania 2008 - Amanda Sululu

Wadau, wiki iliyopita tulimpata Miss Universe Tanzania mpya. Naye ni Bi Amanda Sululu. Anarithi Bi Flaviana Matata ambaye alifika katika Top Ten katika mashindano ya Miss Universe mwaka jana. Tunamtakia Bi Amanda mema akienda kutuwakilisha katika mashindano ya Miss Universe mwaka huu.



5 comments:

Anonymous said...

Hongera zake lakini navyoona hawezi kufika mbali kama Flaviana.

Anonymous said...

Naomba ni critique picha ya juu. Huyo Amanda hana kitu outstanding. Anaonekana kawadia tu. Hata kupita kwenye preliminary round ya Miss Universe itakuwa ajabu. Labda awe na personality ya ajabu.

Anonymous said...

Mmmh Very juicy!!!
Pumbuj4
kolumbasi

Anonymous said...

mmmhh...kana penda wazungu hako!!sijui kama katafika mbali kama Flaviana but all the best

Anonymous said...

Tuplionyu naungana na wewe kabisa, jamani huyu mdada sina hata la kusema.