Tuesday, June 17, 2008

Mr. Sulu anaoa!


George Takei na Mchumba wake Brad Altman

Wapenzi wa Star Trek, hatimaye mcheza sinema, George Takei, (71) maarufu kwa kuigiza kama Mr. Sulu anaoa...bibi arusi ni mwanaume mwenzake! Anamwoa mpenzi wake wa siku nyingi Brad Altman (54).

Kama hamkujua Takei alijitokeza mwaka juzi na kusema yeye ni shoga. Tangu leo asubuhi huko California ni ruksa kwa wapenda jinsia moja (wasenge na mashoga) kufunga ndoa. Wanasema yeye alikuwa wa kwanza kuchukua kibali kwenye mji anayokaa, West Hollywood.

Jimbo la California sasa ni la pili nyuma ya Massachusetts nchini Marekeni kuruhusu mashoga kufunga ndoa.
Kwa habari zaidi someni:
http://www.eonline.com/uberblog/b143090_george_takei_licensed_wed.html

5 comments:

Anonymous said...

binadamu wanapenda sana kumbeep Mungu.

Anonymous said...

haya kafilaneni vizuri

Anonymous said...

Sasa Mr. Sulu ndo atakuwa mke au mume? Jamani, sikujua kuwa ni shoga huyo! DAH! Napenda sana Star Trek series.

Egidio Ndabagoye said...

Duh! usiombe kukutana na wasenge hawa.Bongo nilikutana na mmoja akanizungua sana mpaka nikahama kijiwe.
Udosini ndio balaa unaweza kukuta jamaa mkubwa kama nyumba atakuzoea zoea ulogwe umpe namba ya simu.Umekwisha.

Kuna mmoja nilimuuliza kwanini "kaamua" kuwa msenge akanijibu kweli hakuzaliwa hivyo ila alijikuta anaanza baada ya kuzoeshwa na rafiki zake.Nikamuuliza kwa nini asiache akasema hawezi kuacha!

Anonymous said...

sasa hao mashoga wa huko..mbona hawaji bongo basi watupatie tender wamatumbi..hali yetu ya maisha ni ngumu..kama wanahitaji kushughulikiwa na wanalipa ,wengi tupo tayari kudandia tender ya kupata maisha..maana naona wao wanaihitaji kuolewa na etc.sisi tunahitaji tigo na watulipe day worker..tuboreshe maisha ya dhiki bongo..maana mafisadi wametuacha hoi..ilichobaki tupate ajira ya wasenge wa ulaya na america tusitirike njaa zetu...bongo hakuna ajira..da chemi watangazie basi hao washikaji mashoga wa america bongo mswano..kama wanataka kushughulikiwa..watoe tu dollar zao ..mabasha tupo
mimi mhahangaikaji mtafuta tender ya mashoga...