Wednesday, October 01, 2008

Bahati Bukuku
Huyu dada anaimba vizuri na wimbo wake ni mzuri sana. Lakini hiyo lip synch iko off kwenye video, au macho yangu?

4 comments:

Mutwiba said...

Inasikitisha sana Dada. Sijui ni ulipuaji wa namna gani ambao unatokea katika kazi za sanaa nyumbani. Uvivu wa kazi ni kuanzia watayarishaji mpaka wasanii wenyewe. Yaani hapa sijui watasema aliyechanganya hiyo Video hakuona mpaka imefika ilikofika nawe kuipata ikiwa katika namna hii. Inamfanya mtu aimbaye aonekane kama kichekesho maana anajitahidi kuonesha hisia huku akiwa "off" kwenye sauti.
Inatia simanzi kwa kweli.
Blessings

Anonymous said...

Dada Chemi ni kweli iko off. Kuna wakati mdomo kafunga lakini unamsikia anaimba. Mwimbo mzuri lakini.

Anonymous said...

napenda sana nyimbo yake iitwayo waraka wa amani, ubarikiwe bahati bukuku. nyimbo zako zinatubariki mno
Ms G Bennett

Anonymous said...

shoddy works