Saturday, October 11, 2008

Wabaguzi!

"


MUNGU ATUNUSURU! Hao ndo waliompigia kura BUSH! Cheki maongezi ya hao wabaguzi laivu. Si ajabu walivyotoka huko walimtafuta mweusi wa kumnyonga!

McCain/Palin rallies si za kisiasa sasa. Ni KKK rallies! Hao maKKK ndo walio ua weusi kwa wingi hapa Marekani bila wasiwasi wa kuchukuliwa hatua yoyote ya kisheria!

4 comments:

Anonymous said...

Je siku matokeo yatakapotangazwa kwamba Barack ndiye rais wao. Hawa watu watajificha wapi?? au watahama nchi??

Negativity is just hurting instead of helping them. "Babu Mc" leo amejaribu kutaka kubadilisha ajenda ya mashambulizi, but it's too late... only 25days to go.

Da Chemi, thanks for the updates.

Ron,
London.

Anonymous said...

Hebu Secret Service wamkamate huyo mama khaaa!

Anonymous said...

Hawa watu waache waseme ujinga tu huyo babu wao na yule kihiyo wa Alaska wameshaharibu.Watapoteza uchaguzi huu...maneno ya kutisha watu na kuchochea chuki yamepitwa na wakati wananchi wao wanaumia na uchumi.....na vita zisizo na mpango...wakimchagua Mccain basi Depression 2.0 ni lazima

Nalitolela, P. S. said...

haha, I just like the idiot who says Obama established ACORN, wakati ACORN imeanza Obama ana miaka 9!!

You know what, kama utaamua kupigia kura McCain-Palin for whatever reason good or bad, ni haki yako. Ila don't pull lies out of your a** and convince yourself that it is true. Au ndio wanafuata joke 1 from an episode of Seinfeld where George tells Jerry, "It is not a lie if you believe it's true"?