Thursday, October 30, 2008

Wazee Wastaafu Wafunga Njia Dar - Wakubwa Hakuna Kupita!


Hii ni aibu kwa serikali! Hebu walipe hao wazee hela yao! Kuwalipa ni sawa na kununua shangingi ngapi?
********************************
Picha hizi ni mazingira yalivyokuwa siku ya mgomo wa staili yake wa wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki ambayo ilivunjika mwaka 1977. picha hizi ni kwa hisani ya Jackson Albart wa kampuni ya Ladyband.
**************************************************

4 comments:

Anonymous said...

Jamani! Hao wazee wanadai haki yao kwa nini wanpigwa na FFU!

Anonymous said...

Dalili za serikali kuanguka.........ni suala la muda tu!

Anonymous said...

hivi hao FFU na Polisi wamezaliwa na akina nai??? nakuunga mkono mdau uliyetangulia...Ni suala la Muda tu!!!!!!!!!

Anonymous said...

Hao polisi hawana huruma kwa mama na bibi zao! KHAA!