Thursday, October 23, 2008

Tishio za Wazungu Wabaguzi

Wadau kama hamwamini kuwa kuna ubaguzi Marekani, hebu soma hii habari na usikilize jinsi weusi wanavyotukwanwa na wazungu wenye hasira.

Wanasema, "weusi wote wanyongwe, warudi Afrika, Weusi wasipate matibabu, eti kazi ya weusi ni kuzaa na kupokea welfare!"

Yaani hao wazungu wame-internalize maneno ya McCain na Palin. Wengine wansema eti, Barack Hussein Obama" Ni kweli hiyo ni jina la Obama lakini McCain na Palin wanasema jina lake kamili kusudi wamfananishe na Saddam Hussein. Hali inatisha. Na wanasema halahala Obama akishinda.

BOFYA HAPA:

http://www.huffingtonpost.com/m.s.-bellows/anti-acorn-messages-threa_b_136222.html

Msikilize hiyo clip ya katikati utadhani ni mwaka 1960 kabla ya Civil Rights!

Hata hapa Boston, ofisi ya Acorn ilishambuliwa! Nashangaa kwa nini hakuna mtu aliyekamtwa!

3 comments:

Nalitolela, P. S. said...

we acha tu da Chemi. By the way, leo nimemkumbuka Harriet Christian. Yule mama mzungu supporter wa Clinton aliyemuita Barrack an Inadequate Blackman na kusema Democrats are throwing away the election by nominating him. Sasa hivi anamsupport McCain nasikia; kuonyesha kuwa shida yake sio sera; shida yake kama Crackers wengine ni rangi (I know I probably shouldn't use a derogatory term and a tit-for-tat attitude doesn't make me any better than them, ila mtanisamehe, nimechoka bwana. Huu ubaguzi na unafiki umezidi. Wanajidai free world, wakati ndio wa kwanza kwa ubaguzi

Hasheem said...

see, na huyu Biden analeta zipi sasa...really siajabu anataka kumharibia mwenzake kiaina kuongea hovyo eti Obama's govt will be tested. What tha crap!!!. By the way he's McCain's friend...I don't trust his behind anymore. He wants to destroy the brother from within. Haya na huyo Bill "Mr. Soulbrother" Clinton yukoapi?. Hampigii kampeni mwana Democrat mwenzie...tena akihojiwa anampa sifa McCain kijanja. We used to call him the black president...riiight. But you know what, you can't count on these old white people....especially the "small, town, patriotic ones" as Palin calls them. They're prejudice if not racist. The hope lies in the younger generation...them college students, white and black, hispanic, whatever...they don't see in color.

Anonymous said...

Never trust mzungu. Mzungu ni mzungu tu anamwonamtu mweusi mavi.