Thursday, October 23, 2008

Chotara, ponjoro, shombe ehh?

Hivi tumwiteje huyo mtoto wa punda na punda milia? Akiwa mkubwa sijui atakuaje.

Photo from Michuzi Blog:

6 comments:

Nalitolela, P. S. said...

Duh, Punda na Pundamilia wamezaa!! Kwasababu ya tofauti ya rangi and all, I had no idea their species were closely enough related to produce an offspring; nilikuwa najua tu kuhusu farasi na punda kuzaa mules. Wapi hii imefanyika? Walitaka wenyewe au ilikuwa artificial insemination?

Anonymous said...

Huyu ataitwa Albino, aangalie naye wasianze kumuwinda kama wanavyo wanyanya Albino wetu Tanzania.

Anonymous said...

huyu ndama ni mix bread itabidi aitwe kwa jina la (hongwe-milia)baba ni milia na mama ni kihongwe,so kwa ujumla ni ze hongwe-milia. na yeye mwenyewe akija kuzaa mtoto wake ataitwa,mjukuu wa okapi..ahaaaaaaahaaaa

Anonymous said...

Donkey-do
zebra-ze------ kwa hiyo plural ni DOZE...donkeyzebra..halfcast huyo ndama,

Anonymous said...

Yote yanawezekana kwa anaye amini

Grandma

Anonymous said...

Wazungu wanamwita ZONKEY.