Saturday, October 18, 2008

Mauji ya Albino Tanzania


3 comments:

Anonymous said...

Japo siungi mkono adhabu ya kifo kwa binadamu, hivi vifo vya ma-albino kwa akili finyu za ushirikina eti wa kufanikiwa maishani, ki-pesa, vitakaoma tu endapo wahusika wote watatiwa vitanzi!

Tunangoja na tutatangoja mpaka lini tuone hao mawaziri wa mambo ya ndani pamoja na maaskari wao wakuu wanajiuzulu!

Anonymous said...

Da Chemi Utamu kenda wapi? Nataka kujua sumu iliyotumika kumtoa joka lile loh!

Anonymous said...

utam yupo, tafuta utamu wa kujingáta, kahamia wordpress, sasa ni theutam.wordpress.com